Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia mwalimu
mmoja wa shule ya sekondari kwa tuhuma za kumbaka
mwanafunzi wa kidato cha tatu na kumuumiza sehemu
za siri. Kaimu Kamanda wa Polisi wa Mkoa, Koka Moita
alisema mwalimu huyo alimwita mwanafunzi huyo
katika chumba hicho na kuanza kumtomasa mwilini na
baadaye alimvua nguo kwa nguvu, kisha kumuingilia.
Kukithiri kwa tabia hizi za walimu, nini kifanyike?
Source:EA
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni