Ijumaa, 30 Januari 2015

CUF kortin

CUF yagangamala, 30 kortini
Dar es Salaam. Wakati wafuasi 30 wa CUF jana
walifikishwa mbele ya Mahakama ya Hakimu Mkazi
Kisutu wakikabiliwa na mashtaka matatu ya kula
njama, kukaidi amri halali ya polisi na kufanya
maandamano bila ya kibali, chama hicho kimesema
kitaendelea kuenzi siku ya kukumbuka wenzao
waliofariki wakati wa machafuko Zanzibar mwaka
2001.

Source:mwananchi

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni