Ijumaa, 30 Januari 2015

JE WAJUA SABABU YA EMMANUEL OKWI KUPOTEZA FAHAMU

KUZIMIA: Nini kilimpata Okwi na kupoteza fahamu
SIKU kadhaa zilizopita katika mechi ya soka ya Ligi Kuu
Tanzania Bara kati ya timu ya Azam na Simba,
mshambuliaji wa Klabu ya Simba, Emmanuel Okwi
alianguka ghafla na kupoteza fahamu.
Kwa mujibu wa tukio lilivyoelezwa kupitia gazeti hili,
inasemekana Okwi aligongana na mchezaji wa Azam,
taarifa za baadaye zilieleza zaidi kuwa alipopata
fahamu, Okwi alisema alipigwa kiwiko.

Source:MwanaSpoti

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni